Ijumaa, 22 Nov 2024
Kampeni ndani ya Vijiji vyote 68 & Vitongoji vyote 374
Kazi Na. 1:
Kuomba kura
Kazi Na. 2:
Kuwasilisha michango ya Mbunge wa Jimbo na ya Mdau wa Maendeleo.
Walengwa:
Wagombea: Vijiji 68
Wagombea: Vitongoji 374
Wapiga Kampeni: Kata 21 (×3) & Matawi 95 (×3)
Kazi Na. 3: Vitabu 880 vya rangi
Kugawa vitabu viwili viwili (Volume III & IV) vinavyoelezea mafanikio makubwa yanayopatikana Jimboni mwetu kutokana na utekelezaji mzuri wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM
Walengwa:
Wagombea: Vijiji 68
Wagombea: Vitongoji 374
Wapiga Kampeni: Kata 21(×3) & Matawi 95 (×3)
Kazi Na. 4: Kampeni za Mbunge wa Jimbo
Muda: Saa 8 mchana - Saa 12 jioni
Vijiji 3, Kata ya Etaro
Vijiji 3, Kata ya Nyegina
Picha zilizoambatanishwa hapa:
Viongozi wa shughuli za leo za kampeni wakiwa na magari matatu (3) ya kazi. Hapo ni nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Ijumaa, 22 Nov 2024